NASA wasimama kidete watamapisha Raila Odinga kuwa rais

Uwezekano wa kuafikiwa kwa mazungumzo ya kitaifa hasa kabla ya kukamilika kwa mwaka huu huenda ukakumbwa na vikwazo zaidi hasa baada ya muungano wa nasa kushikilia msimamo wake na kurejelea suala la kumuapisha kinara wao Raila Odinga kabla ya Disemba tarehe 31.
Mabalozi wa mataifa ya Ulaya wakiwa wametenga vigezo vinee vikuu ili kujaribu kuvitumia kuwaleta wana NASA kwenye meza ya mazungumzo na upande wa serikali inaonekana bado mkoko haujaalika mauwa.
Anders Ihachi anatathmini suala hilo kwa kina.

source

[Prosperity]

cool #nasa videos- NASA wasimama kidete watamapisha Raila Odinga kuwa rais #Space #videos #NASA #News #SpaceVideos

Originally posted 2017-12-17 16:14:21. Republished by Blog Post Promoter

You May Also Like